Makala
KILIMO BIASHARA
MKULIMA
‹
›
UFUGAJI
UVUVI
PICHA ZA MAZAO
VIPINDI VYA RADIO
VIPINDI VYA RUNINGA-TV
Serikali ya Tanzania imesema pembejeo hafifu za kilimo wanazouziwa wakulima nchini zimechangia kudidimiza kilimo cha mazo ya chakula nchini na kusababisha kilimo kutokuwa na tija.
Serikali ya Tanzania imesema pembejeo hafifu za kilimo zinazouziwa wakulima nchini zimechangia kudidimiza kilimo cha mazo ya chakula nchini na kusababisha kilimo kutokuwa na tija.
Hayo yameelezwa leo jijini Dar es salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Chakula na Uvuvi, Dk. Florens Turuka Wakati akizindua mpango wa kuendeleza kilimo kwa wakulima wadogo wa mkoani Mbeya,
Akizindua Mpango huo unaowezeshwa na Serikali ya Norway Dk.Turuka amesema serikali itachukua hatua kwa Makampuni yanayouza pembejeo bandia zisizokidhi viwango katika sekta ya kilimo na kuchangia kudorora kwa uzalishaji wa mazao
Mpango huo umelenga kuwafikia wakulima 30,000 katika mkoa wa mbeya Ifikapo 2020 kupitia Taasisi ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika AGRA,ambapo serikali ya Norway ilitoa Dola za kimarekani Bilioni 1.2 katika mpango wa awamu ya kwanza.
Kwa upande wake ,Naibu Waziri wa Mambo ya nje ya Norway Tony Skogen amesema serikali yake imelenga kumuinua mkulima mdogo ili kunufaika na kilimo na kuboresha maisha.
Nae Rais wa AGRA,Dkt.Agnes Kalibata anasema katika kila wanawake kumi saba wanategemea kilimo katika kumu maisha yao katika maeneo ya vijijini licha ya changamoto zinazowakabili.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe.Abbas Kandoro anasema wakulima nchini wa mazao ya chakula wanakabiliwa na changamoto nyingi ikiwa ni pamoja kutofika kwa Pembejeo za kilimo kwa wakati,ukosefu wa mbolea.
KILIMO BIASHARA - MKULIMA - PICHA ZA MAZAO
Waziri wa Kilimo na Mifugo Mwigulu Nchemba amefanya ziara ya Kushtukiza saa saba usiku wa kuamikia leo katika Machinjio ya Ukonga Mazizi.
Katika ziara hiyo, Waziri Nchemba amekamata ng’ombe 200 wakiwa wanaingizwa kwenye machinjio bila kibali halali, na kati yao ni ng’ombe 20 tu ndo walikuwa na kibali cha kuchinjwa, hivyo ushuru wa ng’ombe 180 ulikuwa unatafunwa na watumishi waovu.

"Nimekamata ng'ombe 200 wakiwa wanaingizwa kwenye machinjio bila kibali halali, ni ng'ombe 20 tu kati ya hao 200 ndio wanakibali cha kuchinjwa,
Kwa maana hiyo ushuru wa ng'ombe 180 umekwenda mifukoni mwa watumishi waovu na wenye lengo baya dhidi ya serikali yetu.
Hivyo basi, nimewasimamisha kazi kuanzia mkuu wa mnada wa Pugu ambaye siku si nyingi aliaminiwa na serikali na kupewa jukumu ili aongoze mnada huo,watumishi wote waliotajwa kwenye ubadhilifu huo." Alisema Mwigulu Nchemba
Baada ya kubaini hali hiyo,Waziri Nchemba ameufukuza uongozi wote wa machinjio hayo na kuagiza vyombo vya dola viwakamate viongozi wote waliohusika na kuwafikisha mahakamani.
KILIMO BIASHARA - PICHA ZA MAZAO - UVUVI
International range
Watermelons are a true summer crop that loves plenty of sun and nice, hot weather, so that the main growing areas are to be found in China, Turkey and the Balkan countries, as well as in all the countries around the Mediterranean. Rijk Zwaan focuses on breeding two watermelon types: SugarBaby and Crimson. With specific varieties for different growing areas we are working on an international range, in which Rijk Zwaan wants to distinguish itself with a strong crop and good fruit characteristics.
Reliable
Our target, within the watermelon segment, is the fresh market in particular, for which we strive to develop a reliable crop that performs well in all conditions. Setting has to be easy and, preferably, not too early so that the crop gets a chance to develop. Resistances are also a major help in keeping the crop healthy. For a number of specific markets we are working on creating seedless fruits. And, last but not least, we always strive for an excellent presentation, flavour and colour.
New trends
At Rijk Zwaan we are increasingly looking for varieties that are specifically suitable for processors, thus playing into the trend for fresh-fruit salads. Important for these varieties is that they produce seedless fruits, with an average fruit size and excellent colour which is retained even after processing. At the moment Rijk Zwaan focuses mainly on melons with red fruit flesh but in the future more colours can be included in the range. Yellow fruit flesh for example is already an interesting niche market.
KILIMO BIASHARA - MKULIMA - PICHA ZA MAZAO - SISI NI NANI? - UFUGAJI - UVUVI - VIPINDI VYA RADIO - VIPINDI VYA RUNINGA-TV - WASILIANA NASI

KILIMO BIASHARA - MKULIMA - PICHA ZA MAZAO - SISI NI NANI? - UFUGAJI - UVUVI - VIPINDI VYA RUNINGA-TV - WASILIANA NASI

Many usage aims
Rijk Zwaan has tomatoes for various target groups and various usage aims. We have, for instance, extra small tomatoes that allow youngsters to eat them as sweets, but much healthier for them. Other tomatoes are specifically suited to be sold as truss tomatoes. We also have a growing number of rootstocks in our range which provide growers with a higher yield or better resistance to disease.
Flavour first and foremost
Rijk Zwaan is known for consciously choosing flavour and labour-friendliness for growers. Other traits we select our varieties on are a nice red colour and firm fruit with a long shelf life. The various usage aims also require specific traits. Our truss tomatoes, for instance, have nice green parts and we have varieties that are ideal for the processing industry.
Working on resistance
Harmful viruses are constantly putting pressure on tomato cultivation. That is the reason why our breeders are, therefore, constantly working on new resistances which help growers grow a healthy crop. A widening choice of rootstocks can also contribute to this. Moreover, by looking for ideal combinations of cultivar and rootstock, higher productions are possible, always with quality and flavour as preconditions.

Subscribe to:
Posts (Atom)